House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HII HAPA IPO WAZI MPANGAJI KASHAHAMA
---------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA DK 10 KUTOKA STEND KWA MKUA.
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA UPO KWA NAULI YA TSH 5OO UKITOKEA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL KOTE UNAFIKA .
------
SIFA ZA NYUMBA =
################
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER KUBWA NA VYUMBA VINGINE NI VYA WASTANI
SEBULE
JIKO LENYE MAKABATI
NA JIKO LA NJE
PUBLIC TOILET
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI YANAFLOW CHOONI JIKONI
IPO NDANI YA FENSI YA WAYA
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
NOTE =
BARABARA NI CHANGAMOTO KIDOGO
CONTACT
0742260844
0657384670