House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HAKA KAJUMBA KAKIBACHELA KAKO KENYEWE KANAPANGISHWA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA WASTANI
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA NDANI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA HAINA FENSI ILA USALAMA PARKING NI WA UWAKIKA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10 -12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336