House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA
LAKI MOJA NA HAMSINI 150,000 KWA MWEZI MARA SITA
APANTIME NT INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
NI NZURI SANA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO UKITOKEA MJINI UMBALI KILOMITA MBILI
USAFILI UPO MWINGI BAJAJI MIA SABA 700
BODA ELFU MOJA 1000
SIFA ZA NYUMBA
NI CHUMBA MASTA SEBULE NA JIKO
INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI
INA TILES
JIPSAM
DILISHA KIOO
NYUMBA HAIPO KWENYE FENSI
ILA USALAMA WA KUTOSHA
KODI LAKI MOJA NA HAMSINI KWA MWEZI ILPWE MIEZI SITA
150,000X6
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















