House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HII HAPA STAD ALONE YA FAMILIA INA PANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO
KODI 400,000X6
UMBALI TOKA MOROGORO
ROAD KM 1
NI VYUMBA VITAYU VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA LINAMAKA BATI NA STORE
PAVING BROOK
USAFILI BAJAJI 1000
DALA DALA 600
TAX 1000
BODA 1000 UKISHUKA UPO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME MAJI PIA YANA FLOW NDANI
NGUGU MTEJA UKILIPIA NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
.#0625606710