House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA YA KISASA
Location
Kimara korogwe kilungule
Km 2 toka morogoro road
Usafiri bajaj 24 hrs
Sifa zake
Vyumba 2 vyote master
Sebule kubwa ya kutosha
Jiko kubwa sana na store
Ina choo cha familia
Luku na maji inajitegemea
Fensi parking kubwa
Zipo mbili compound moja
Mazingira safi barabara mkeka
Bei ni Tshs 350000 kwa mwezi
Malipo miezi 6 piga sim
0784422099
0746218111
0715422099