House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA SUKA #120k
Chumba cha kulala kikubwa
Choo ndani
Jiko safi
Maji yanaflow chooni na jikon
Umeme submeter
Maji inajitegemea
Ndani ya fence ( no parking)
Kodi 120,000 Kwa mwezi ร 6
Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167