House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*ZIKO 4 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, HAKUNA PARKING
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
------------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA
MALIPO YA DALALI MWEZI
MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----------
CONTACT
NO=0788410350 / 0766825473