House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA KALI INA PANGISHWA
KODI 250,000X6
LOCATION: KIMARA MWISHO KAMA UNAENDA MBEZI KUSHOTO
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI YAKE YANA TILILIKA NDANI
INA AISII PIA
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMBALI KM 2 TU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
HII NYUMBA MPANGAJI WANGU KAAMISHWA KIKAZI DODOMA
UKILIPA TU UNAINGIA
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747