House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA NZURI SANA
LOCATION:KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
๐ฐBEI NI LAKI 700,000 X6 ...5...4...3 MWISHO UNALIPA
>HII NYUMBA INA VYUMBA2 VA KULALA KIMOJA MASTER
>SEBULE KUBWA
>JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
>PIA INA PUBLIC YA NDANI
FULL A/C
FULL WIFI INTERNET
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
UMEME NA MAJII
SERVICE CHARGE 15,000
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
TUPIGIE #0625606710 AU 0783794666