House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
LOCATION: KIMARA MWISHO
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
.
.
INA TILLES GYPSUM SAFI MAZINGIRA MAZURI
.
.
IPO NDAN YA FENS ILA SIO YA KULAZA GARI
.
.
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO
.
.
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
.
CONTACT
0742260844
0657384670