House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA MPYA KABISA ZINA PANGISHWA  NA IMEBAKI MOJA TU  KIMARA STOP OVER DKK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI  BODA BUKU.
CHUMBA MASTER 
SEBLE KUBWA 
HAKUNA JIKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI 
INA SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO  AMBYO NI YAKO WEWE TU.
TILES 
GYPSUM 
MAJI YANA FLOW 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 250,000/=×6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















