House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
——
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
------
Chumba
Seble
Jiko
Open (kitchen)
Public toilet ndani
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki mbili na nusu Kodi miezi 6
# Simu 0757 404087