House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
LOCATION: KIMARA MWISHO
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA KIKUBWA NA SEBULE KUBWA SANA
CHOO NI NJE CHA KUSHEA WAWILI TU
NA MAJI YANAFLOW CHOONI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA
UMBALI KM 15 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE MPKA NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670