House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER KALI SANA MPYAA MPYAA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA TEMBONI
KODI: 100.000X4
UMBALI KLM 1
USAFIRI BODA 100
NI CHUMBA MASTER KUBWA MZURI SANA USALAMA UPO WAKUTOSHA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MASAA 24 YANA FLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
What saapp number 0689-547258