House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KODI150kX 4๐
Chumba Cha kulala
Sebule nzuri
Jiko zuri
Choo public ndani
Bei:150,000 x 4...ila kuna dopozit ya maji taka 40..ilipwe kwa awamu ya kwanza tu
Inajitegemea umeme, maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
Umbali KM 2. 5 Bajaji zipo toka kimara mwisho au kimara suka
bajaji 700๐
bodaboda 1000๐
Ndani ya fence parking hakuna
Kupelekwa kwenye Nyumba elfu 15 ๐
#150,000 malipo ya dalali pindi ulipiapo Nyumba
SERVICE CHARGE TSH 15,000/=
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258