House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAYA WALE MNAOPENDA KUKAA KARIBU NA BARABARA HII INAKUFAA DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI KIMARA KOROGWE (350)
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET YA WAGENI
#Tiles GYPSUM ALUMINUM SLIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#FULL ICE
#ELETRICK FANCE
#HITER MAJI MOTO
#MLINZI WA KAMPUNI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI ULIPI IMEJUMLISHWA KWENYE KODI YAKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI ELFU15
0679447338
0753454167