House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO VYUMBA VIWILI VYA KULALA KODI LAKI MBILI NA HAMSINI (250,000)KWA MWEZI
........
Seblee kubwa
Vyumba viwili kimoja wapo master bedroom
Jiko
Public toilet
Jiko
Mafeni vyumbani kote
Full tiles
Gypsum board
Aluminum window
Luku yake
Maji Dawasco yanaflow metar yake
Mazingila 2livu mazuri
........
KODI 250 X 6 KAZI KWAKO
Ipo umbali wa 1.5 kilometar to main road usafili upo mwingi wakati wote
.........
Kupelekwa site ni Elfu 15,000/=
Kitemo Dalali kimara Goba
Contact
Sms call watsup
0719745506
0786927595