House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
.
.
LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
.
.
USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNAINGIA NDANI
.
.
KODI NI TZS 200,000K X4 👈
.
.
SIFA ZAKE,,,👇
#########
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA YAKUJIACHIA NA JIKO LAKE ZURI LA KISASA
.
.
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
.
.
UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
.
.
ZIPO APARTMENTS MBILI TU KWENYE FENCE NA HII MOJA NDIO IKO WAZI
.
.
NB:,,👇
NYUMBA HII FENCE YAKE UBAVU MMOJA NI YA MAUA PIA HAILAZI GALI
.
MAZINGIRA YAKE NI TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
.
.
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
.
.
UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
.
.
CONTACT
0742260844
0657384670