House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA MPYAAA UNAZINDUA MWENYEWE
NI CHUMBA MASTER NA JIKO VIKUBWA SANA
KODI 150,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI KM 1.2
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
FULL PEVING BLOCK
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BODA 1000 HADI KWENYE NYUMBA
ITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 10/4/2025
KUONA NA KULIPIA LUKSA
WAHI CHAP