House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
๐ฅ SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
โผ๏ธ HAKUNA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI
#PARKING
BEI NI 250,000/= ร 6
๐ฅ SEHEMU 'B'
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
โผ๏ธ HAKUNA MASTER BEDROOM
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,0000/= ร 6 (HII INAFAULISHWA)
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300