House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA .
SIFA
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING
** INAYOPANGISHWA NI YA JUU GHOROFANI
BEI
TSH. 380,000/= KWA MWEZI. ILIPWE KUANZIA MIEZI 6
LOCATION
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2. USAFIRI NI BAJAJI .
**** UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 HII NI TOFAUTI NA KODI
WASILIANA NASI;
0684217177, 0716834095