House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 300K
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1.5 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI/DALADALA/500 UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI SALIM KIMARA UBUNGO
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
#0715949085
#0782838336