House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA ZINAKUWA TIYARI TAR 31.11.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
----------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina wekwa makabati
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Maji yana flow
Electric fence
Woshing mashine
Free WiFi
Tiles
Gypsum
Geti la limoti
Paving block
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000 /=
Kodi 400,000/=Γ6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact
0713320608
0686334182