House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 29/02/2024
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
#PAVING
BEI NI 250,000/= × 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
PIA UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI
APARTMENT HII KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300