House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KODI NI 220,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION: KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA DK 8 TU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
.
SIFA ZAKE
========
NI CHUMBA MASTER & PUBLIC
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
INA TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
NDAN YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA TULIVU USALAMA WA KUTOSHA
.
BRBR NI SAFI KABISA HATA KWA WALE WENYE MAGARI YA CHIN
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0712656027