House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


#0625606710
🏚APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA
💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIZURI
#SEBULE NZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC TOILET)
❌HAKUNA JIKO ❌
#KIBALAZA KIKUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 150K X 6
ILIPWE LAKI 1 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA