House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA ๐ฏ%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA YA KIBABE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ *KODI YAKE 150K X3//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#UPANA "Ft15" UREFU "Ft16"
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE SUBMETER
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
๐๏ธAPARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
Piga cm 0764575774