House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI MPYA YA KIBACHELA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LITAFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PAVING
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA TUU
๐ NYUMBA HII YA KIBACHELA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NJIA ILIYOWEKWA LAMI USAFIRI NI BAJAJI SH 500
KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15
0753-989554
0652-508128
============