House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI NA PIKIPIKI NA DALADALA ZIPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMME LIPIYA NYUMBA
SIFA ZA NYUMBA
__________________
NYUMBA MPYA
hapa zipo nyumba mbili 2
Zote ni chumba sebule
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko
Inajitegemea umeme NA maji
BEI. (200,000)
X6
YAPILI
_______
ni chumba na sebule master haina jiko
Kodi yake ni (180,000)
X 6
Jamani mwenye nyumba anasema miezi sita kamili hachukuwi chni ya miezi sita 6
___________________________
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL 0784810004
0713545127
Masele kimara raisi wa madalali kimara