House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 5,6) KIMARA MWISHO
INAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU TAR 28
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI MITA YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KILA MMOJA YAKE
MAZINGIRA MAZURI MNOO
SERVICE CHARGE NI SHILLINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300