House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI MPYAA KABISA YA KISASA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5
BODA 1000/
===
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA SEBULE CHOO NDANI PABLIC
NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI. 200,000/=X4
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0715949085