House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1
SIFA YA NYUMBA
__________________
hizi nyumba ni mpya
Ni chumba master na sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo kimara mwisho
KODI YA PANGO
_________________
kodi kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu
(250,000)
X 6
PIYA HAPA KUNA CHUMBA MASTER BEDROOM
KODI.
(150,000)
X 6
_____________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347