House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI OPEN KITCHEN
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7-8 TUU KWA MIGUU
GARAMA YA KUONESHWA NYUMBA HII NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37