House for rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F94ce0050-e90e-47ca-a1bb-c168bb8ca92e.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F94ce0050-e90e-47ca-a1bb-c168bb8ca92e.jpg&w=256&q=75)
STAND ALONE HOUSE FOR RENT ###300K
--------------------------
NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA INAPANGISHWA.
NYUMBA HII IPO KINYEREZI NJIA IENDAYO AIR PORT KITUO "DARAJANI MWEMBENI " UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 5 HADI KWENYE NYUMBA.
SIFA ZA NYUMBA =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE KABATI
PUBLIC TOILET YA NJE
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA INAJITEGEMEA.
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE KUBWA SANA NA PARKING SPACE KUBWA.
--------
KODI NI LAKI 300,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 20,000 /=
0710614924
0688653940