House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mbuyuni.
- Master
- Sebule
- Jiko la kisasa
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Wapangaji wawili tu
Kodi 250,000/= MIEZI SITA
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.