House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Darajani.
- Master
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Full A/C
- Water heater
- Paving
- Parking
- Wapangaji wawili
- Fence
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.