House for rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


IMESHUKA BEI KODI NI LAKI 250,000 /=KWA MWEZI, NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA.
-----------
MAHALI ILIPO = KINYEREZI
NJI IENDAYO MAJUMBA SITA ( AIRPORT ) KITUO MWEMBENI " DARAJANI "UMBALI WA DK 3 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI.
-----------
USAFIRI WA DALADALA UPO NAULI TSH 700 UKIWA UNATOKA ,TABATA KINYEREZI, MBEZI MWISHO, KOTE UNAFIKA UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3
---------
SIFA ZA NYUMBA =
INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET YA NJE
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA INAJITEGEMEA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
----
KODI NI LAKI 250,000/=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 20,000/=
-------
CONT =
NO -0766825473
WSP -0788410350