House for rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tsh 800,000/=
Kinyerezi Zimbili,Dar es salaam Tanzania.
=============
■Nyumba ina vyumba 3vya kulala/vyumba 2 vina vyoo na bafu/sebure/jiko/sehemu ya kulia chakula/choo na bafu vya familia/AC /umeme/Maji-dawasa nk,
________________
●Mpangaji : Atalipia Tsh 20,000/=
Kupelekwa kuoneshwa nyumba. +Kodi ya mwezi mmoja,kwa dalali ulipiapo nyumba.
________________
■Napatikana ; Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
■Piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094