House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


FURSA KUBWA KWA WAWEKEZAJI π₯ π₯ π₯
Kiwanja Kinauzwa Kinyerezi Kifuru Kwa Dangote.
UKUBWA: SQM 1221
BEI: MIL 60 *(maongezi yapo)*
- Ni tambarare
- Kina tazama barabara ya mtaa
- Kuna mandhari mazuri sana (fresh air)
- Mji unakuwa kwa kasi sana
1. Unaweza jenga nyumba binafsi na kubakiwa na nafasi ya kutosha ya parking, swimming n.k.
2. Unaweza jenga apartments na kupangisha eneo ni kubwa sana apartment za kutosha unapata na nafasi inabaki.
3. Pia unaweza weka frame za biashara mbele na kukusanya kodi.
Ni hotcake na potential sana.
Muhitaji piga 0688 412 890.