House for Rent at Kisima, Kilimanjaro


APPARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA
______
ZINATAZAMA BARABARA YA LAMI
______
MAHALI-NJEDENGWA INVESTMENTS
______
NJEDENGWA INVESTMENTS YA MWANZO INAYOPAKANA NA KISASA RELINI
______
MUUNDO
-VYUMBA 02 VIZURI VYA KULALA(01 MASTA)
-SEBULE NZURI YENYE SHOWCASE
-OPEN KITCHEN
-PUBLIC TOILET
_______
HUDUMA ZA BURE
1.FREE INTERNET (WiFi) 24/7
2.TUMECHIMBA KISIMA NA PIA KUNA MAJI YA DUWASA HIVYO HUDUMA YA MAJI NI 24/7 HAYAKATIKI
______
HUDUMA ZINGINE
-UMEME UPO UNAJITEGEMEA LUKU YAKO
-ZIKO NDANI YA FENSI
-HEATERS KWAAJILI YA MAJI MOTO ZIPO
-ELECTRICALLY FENCED COMPOUND
-CCTV CAMERAS KWAAJILI YA ULINZI/USALAMA
-MAIN GATE ITAFUNGWA MOTOR IVYO UTAFUNGUA/FUNGA KWA REMOTE
_______
BEI-600,000@MWEZI (INAJUMUISHA MAJI+FREE WiFi)
_______
MUDA WA MALIPO-MIEZI 06+MWEZI MMOJA WA TAHADHARI AMBAPO UKIHAMA KAMA HUJAHARIBU NYUMBA UNARUDISHIWA
_______
MALIPO YA DALALI-KODI YA MWEZI
(UNALIPA MTEJA/MPANGAJI)
__________
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
__________
NB-MNAOPENDA KUKAA MAZINGIRA TULIVU ZINAWAFAA PIA MNAOFANYA KAZI MAENEO YA MJINI PAMOJA NA UDOM,BENJAMIN MKAPA HOSPITAL,KISASA KUELEKEA DAR ROAD,UCSAF,ROAD FUNDS NA TAASISI ZINGINE
_________
MAWASILIANO
0767833496(Call)
0622111186(whatsap+call)