House for rent at Kisima, Kilimanjaro


Inapangishwa mbauda field force arusha
Ni nyumba classic
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebule
Ina jiko lenye makabati
Ina public toilet
Ina heater ya maji moto
Kuna maji ya idara na kisima
Ina parking kubwa
Ina electric fance
Ipo mitaa 200 kutoka main road
Bei 350,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119