House for Rent at Kisiwani, Tanga


NYUMBA ZINAPANGISHWA
Kigamaboni kisiwani 📍
✅ Vyumba vutatu kimoja master Sebule jiko
✅ Stand alone
✅ Ndani ya fence
✅ Umeme & maji unajitegemea
✅ Karibu na barabara
👉 bei 700k kodi kuanzia Miezi 6
👉 zingatia service charge 20k.. ukilipia Nyumba dalali mwezi 1
Welcome Kigamboni
#realestateagent #nyererebridgekigamboni🇹🇿 #diamondplatnumz #diamondplatnumz_trends #mbossokhan #kigamboni #nyererebrigde