House for rent at Kisongo, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA KISONGO ARUSHA
Ni nyumba classic inajitegemea
Ina Vyumba Vitatu vyote master
Ina Sebule kubwa
Ina dairning
Ina Ina Jiko kubwa lenye makabati
Ina Heater Ya Maji Moto
Ina Parking kubwaa
Ina garden
Ina bustani kubwaa ya kuotesha mboga
Sio mbali na lami
Ipo sehemu patulivu
Ina reserve tank lita 20,000
Ina servant cotter
Eneo ni kubwa unaweza kufuga hata kuku
INAJITEGEMEA KWENYE COMPOUND
KODI:400,000/= kwa mwezi
Call 0758105801