House for Rent at Kwembe, Dar Es Salaam







#APARTMENTS MPYA #200,000/=
MALIPO MIEZI 3TU!
--------------------------------
📌Mahali:LUGURUNI -KWEMBE (DSM)🇹🇿
UNAWEZA KUPITIA MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA
KITUO MSIKITINI
JIRANI NA SHULE YA DERBAB
Umbali:2.Km BAJAJI 700
__________________________
MUUNDO
✔️Chumba Master
✔️Sebule Kubwa
✔️Choo Ndani Public
✔️ Jiko
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Feni Ya Juu
✔️Paving block
_______________________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo dawasa)#MITA YAKO
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌 Ndani Ya Fensi &Parking ipo
N.B IPO WAZI NI YA KUHAMIA TU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 200,000\/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 3+ mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347