House for Rent at Madale, Dar Es Salaam
Nyumba zinapangishwa. Mahali ni madale Sheraton.
Dakika 8 kutoka lami. Zina master, sebule na jiko. Ziko ndani ya uzio.
Luku inajitegemea.
Maji ni ya DAWASA na ni buree
Kodi 210,000 (malipo ya miezi 5).
Call 0659244543