House for rent at Mahina, Mwanza


NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MAHINA
Block 01
-vyumba viwili vya kulala (self moja ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-kodi ni Tsh 200,000 kwa mwezi
Block 02
-chumba kimoja self contained, sebule, jiko na stoo
-kodi ni Tsh 150,000 kwa mwezi
-nyumba zote zipo wazi
-ruksa kufanya booking
☎️ 0743220097