House for rent at Majengo, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-SALASALA MAJENGO
NYUMBA NZURI YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
INAJITEGEMEA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
KODI TSHS LAKI 6 KWA MWEZI
MALIPO NI MIEZI 6
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
Swipe left