House for Rent at Majengo, Dodoma


CHUMBA SEBULE JIKOO CHOO KALI MNOO 🔥🔥
Apartments nyumba nne kwenye compond
Location
Salasala majengo bajaji buku
Price
275,000
Kwamwezi
Malipo miezi 6
Umeme luku yako
Maji yako dawasco 24hours
Kwa maelezo zaidi piga simu
Call/whatsp
#0692406639
Kuona nyumba 20k