House for rent at Makongo, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa vyumba vitatu Vya kulala Kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa pia zuri sana
Huduma zote zipo maji dawasco
Bei yake laki 750000k kwa mwezi kodi miezi6 tu
Nyumba ipo makongo juu kutoka lami dakika 5tu
Nipigie simu 0683537444