House for rent at Makongo, Dar Es Salaam


Nyumba Ya Kifamilia Inapangishwa
Mahali: Makongo
Bei: 400,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Zipo Mbili, Kila Mmoja Geti Lake
☑️Vyumba Viwili, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Kubwa
☑️Jiko Kubwa La Kisasa
☑️Bafu Na Choo Cha Familia
☑️Kabati La Nguo
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Tiles, Gypsum & Shutter Windows
☑️Luku & Maji Inajitegemea
☑️Full Paving Blocks
☑️Reserve Tank
☑️Umeme Na Maji Dawasa 24/7
☑️Ni Karibu Na Lami
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalali